JIUNGE SASA SIKU NNE ZA MWANZO KWA BUREE KABISAA

Programu hii itahusisha wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita ambapo kutakuwa na solving ya maswali mbalimbali kutoka kwenye mitihani ya taifa na mitihani ya shule mbalimbali nchini Tanzania katika somo la language. Solving itafanyika kwa njia ya Watsapp na kwa njia ya email ambapo watakaojiunga na program hii wataunganishwa kwenye Watsapp group ambalo litakua kama darasa letu. Solving itaendeshwa kwa njia ya Audio na Video ambazo zitakua zikitumwa katika group letu la Watsapp na kila mmoja atasikiliza au kuona na akishindwa kuelewa atapewa uhuru wa kuuliza swali. Itapangwa ratiba ya kusolve maswali ya kila siku na kutakua na majaribio (test) ambayo kila mwanafunzi au mwalimu aliyejiunga atafanya kisha atakusanya na Team ya walimu wa Mpella Education Blog itayapitia na kumtumia majibu kila mmoja na kisha kufanya masihihisho. 


Kama unahitaji Kuijunga na programu hii kuna siku nne za mwanzo za buree kabisa kisha tutatoa utaratibu wa kulipia ada yetu ni Elfu tano kwa mwezi mzima.

KUJIUNGA NICHEKI WATSAPP 0759146185 
rajabumpella380@gmail.com
GET NOTES THROUGH WHATSAPP/EMAIL BY PAYING LITTLE AMOUNT OF MONEY, CONTACT US 0759146185/ 0622105865

Post a Comment

Previous Post Next Post