Habari zenu watembeleaji wa blog ya Mpella Education Napenda kuwataarifu kutakua na usumbufu kwa kufungua notes na zingine hazitofunguka kabisa, tatzo hili ni la kiufundi na linawekwa sawa baada ya kuwa vizuri kila kitu kitakua sawa tena kwahiyo tunaomba radhi kwa usumbufu. Asanteni sana


UPDATES 22/12/2018

Mpaka sasa tayari kuna biology na chemistry form four nimeupload so bofya icon ya somo husika upate notes PDF

bofya hapa biology all notes
na chemistry all notes


GET NOTES THROUGH WHATSAPP/EMAIL BY PAYING LITTLE AMOUNT OF MONEY, CONTACT US 0759146185/ 0622105865

6 Comments

 1. Enter your comment...Mr Rajab Mpella hongera kwa kazi kubwa ulivyoifanya ya kukushanya Mada za masomo yote ila kuna kasoro imejitokeza kuna Somo mbona sijaona notice zake Somo la dini ya kiislam

  ReplyDelete
 2. Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mkubwa!!!

  ReplyDelete
 3. If Possible, tusaidie hata Schemes of wor.

  ReplyDelete
 4. mungu akulipe , kwa kujitoa kwako

  ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post