Habari watembeleaji wa blogu hii ya kielimu ya MPELLA EDUCATION. Serikali kupitia wizara ya Tamisemi imetangaza ajira mpya za walimu wa shule za msingi na sekondarikwa mwaka 2019, kutazama ajira hizo  click here.
Utaratibu wa kutuma maombi ni kwa njia ya mtandao katika tovuti ya ONLINE TEACHING APPLICATION SYSTEM. Hivyo basi natoa maarifa yatakayokuwezesha katika mfumo huu na kujiunga kisha kutuma maombi yako ya ajira


TAZAMA VIDEO HAPA NAMNA YA KUOMBA
JINSI YA KUFUNGUA AKAUNTI OTEAS
Kwa ambao bado hawakuwahi kujiunga na OTEAS inatakiwa kwanza wafungue akaunti kisha wataendelea na uombaji. zifuatazo ni hatua za kufuata ili ufungue akaunti yako OTEAS

Ingia katika tovuti ya OTEAS kwa kuingia katika browser yako na kuandika  ajira.tamisemi.go.tz  au click here 

Hapo itafunguka na kukuletea muonekano huu hapa chini kwenye picha,
Ikiwa tayari una akaunti utajaza USER NAME na PASSWORD zako utabofya SIGN IN lakin kwa wale ambao hawana akaunti inatakiwa wafungue akaunti na wanatakiwa kubofya hapo chini palipoandikwa YOU DON'T HAVE ACCOUNT CLICK HERE TO CREATE kama ilivoonyeshwa kwenye picha hapa chiniBaada ya kugusa sehemu hiyo ili kuanza kufungua akaunti yako ya OTEAS utaletewa muonekano huu kama unavyoonekana katika picha hapa chini


Hapa utatakiwa uanze kujaza taarifa zako zinazohitajika kama ulivoonyeshwa hapo kwenye picha jaza PASSWORD ambazo ni kuanzia namba au herufi nne na kuendelea na pia hakikisha unaweka PASSWORD ambazo hata badae utazikumbuka.

Jaza USER NAME hili ni jina lolote ambalo ni la kukutambulisha wewe na ni jina ambalo utalitumia kuingia kwenye akaunti yako kwahiyo andika jina ambalo utakua unalikumbuka mda wowote ukihitaji kuingia kwenye akaunti yako ya OTEAS.
Tazama 

Tazama picha hapo chini ikiopnyesha jinsi Mwalimu huyu alivojaza taarifa zake.Na unapomaliza kujaza taarifa zako zote utabofya hapo palipoandikwa REGISTER. ukibofya hapo tayari utakua umekamilisha kujisajili na mfumo huu na itakuonyesha hivi tazama picha hapo chini.


Sasa umeshajiunga na OTEAS ukibofya OK itakurudisha sehemu ambayo utaweza kuingia SIGN IN kwenye akaunti yako ya OTEAS na kuanza kuomba ajira.


                        JINSI YA KUOMBA AJIRA KWA MFUMO WA OTEAS

Ingia kwenye akaunti kwa kujaza USER NAME na PASSWORD zako kisha itafunguka na kukuletea muonekano huu hapa chini tazama picha.


Hakikisha unagusa vipengele vyote vya kushoto mwa picha hii vikianziwa na Personal information vijaze vyote na ukamilishe maelekezo kwa kila kipengele ndipo utagusa hapo APPLY FOR POST.

GET NOTES THROUGH WHATSAPP/EMAIL BY PAYING LITTLE AMOUNT OF MONEY, CONTACT US 0759146185/ 0622105865

6 Comments

 1. Naomba msaa kwenye search for council of residence, ni taarifa gani natakiwa kujaza hapa? kila ninacho jaza kinakataa , naomba muongozo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hapo jaza wilaya unayoishi, ukiandika tuu ita search kam ipo hiyo wilaya ulotaja itakubali hapo

   Delete
 2. jamanii nime apply for post lakini bado atachment hazijakamilika je naweza kuendeleya ku upload

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakikisha una upload attachments zote kwa sabab itakapofika muda wa wao kuanza kupitia application zote wanahitaji wakute umeambatanisha vitu vyote walivyotaja uviweke so make sure you upload all of the attachments needed

   Delete
  2. Kunaulazima wa Ku certify vyeti vyangu kabla sija attach

   Delete
 3. Jaman mi naomba msaada, ili niweze kupokea taarifa za ajira pindi zibapotika kupitia email yangu nifanyenini?

  ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post