KARIBUNI PRECIOUS KING PRE AND PRIMARY SCHOOL 

Shule in apatikana Mkoa wa Morogoro wilaya ya Gairo.
Shule hii inatoa elimu kuanzia chekechea (kindergarten) mpaka darasa la nne na mwaka ujao itakua na darasa la tano.

Shule hii ni English Medium School yaani kingereza ndiyo njia ya kufundishia (Medium of instruction) na njia ya kuwasiliana (Medium of communication).

Ada ni 750,000 (Laki saba na nusu kwa mwaka na hilipwa kwa awamu tatu kwa mwaka mzima.

Shule ina walimu weledi waliohitimu ngai ya Diploma na Degree.

Shule ina miundombinu mizuri na rafiki kwa kujifunzia pia michezo.

Usafiri unapatikana kwa wanafunzi wa kutwa 

Huduma ya bweni itaanza kuanzia mwezi wa nne mwaka huu 

MAWASILIANO

Mkuu wa shule: 0678~896049

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA SHULE HII HAPA CHINI


GET NOTES THROUGH WHATSAPP/EMAIL BY PAYING LITTLE AMOUNT OF MONEY, CONTACT US 0759146185/ 0622105865

1 Comments


  1. Dristrict news is always give the truth news 24 hour ......

    If you want more just look here "Best Newspaper"

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post