ERETO ACADEMY SCHOOL
Karibuni Ereto academy school, Shule ipo Wilaya ya Arusha Jiji, mkoa wa arusha.
Shule inatoa elimu ya sekondari kwa waliopata alama D katika mitihani yao ya Darasa la saba kuanzia mwaka 2011 mpaka sasa, kwa mfumo wa QT (Qualifying Test) & PC ( Private Candidates) kwa masomo yote ya sekondari ya sayansi na sanaa.
Shule ina majengo na miundombinu rafiki kwa kujifunzia ikiwemo samani za kutosha, vitabu vya kujifunzia kwa masomo yote na walimu mahiri wenye uzoefu katika tasnia ya elimu na ufundishaji.
ERETO ACADEMY SCHOOL ni shule ya kutwa kwa siku zote za kazi, yaani kuanzia jumatatu mpaka ijumaa.
Gharama zetu ni nafuu na za kawaida ambazo utaruhusiwa kulipa kwa awamu au kidogo kidogo.
Mawasiliano
MKUU WA SHULE | +255693009604/0759060903
TAZAMA PICHA HAPA CHINI ZA MAZINGIRA YA SHULE
Post a Comment