KARIBUNI GG SHULUA SEKONDARI - KIBAMBA DAR ES SALAAM
>SHULE YA GG SHULUA INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020
>SHULE PIA INA NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA II, III NA IV KWA MWAKA WA MASOMO 2020
>ADA IMEPUNGUZWA KWA WANAFUNZI WA KUTWA NI TSH. 650, 000/= KWA MWAKA.
> SHULE PIA NI KITUO CHA MITIHANI YA NECTA KWA QUALIFYING TEST (QT) NA WATAHINIWA BINAFSI (PRIVATE CANDIDATES) ADA ZETU NI NAFUU KWA MASOMO YOTE
WAHI SASA GG SHULUA SEKONDARI
>SHULE NI YA MCHANGANYIKO WAVULAANA NA WASICHANA
> SHULE NI YA KUTWA NA YA BWENI
GG SHULUA IPO WAPI
>SHULE IPO DAR ES SALAAM KIBAMBA - NJIA PANDA
SHULE IPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU KWA KUJIFUNZIA
MITIHANI YA MAJARIBIO (INTERVIEW) NI KILA SIKU YA JUMANNE SAA 09:00 ASUBUHI
MAWASILIANO
0769 455 664 / 0672 350 989 / 0715 586 391 MKURUGENZI WA SHULE
I really thank you for your content. The article has truly peaked my interest.I know you spent a lot of time picking out the perfect gift for me and I feel blessed to have such a thoughtful friend in my life.
ReplyDeletePost a Comment