Mnafanya vyema sana wakuu, blog hii imekua msaada mkubwa sana kwa wanafunzi, zaidi kwa Private Candidates, QT, na hata School Candidates, na wapo walimu wengi tu hutumia notes za masomo katika blog hii na kufundishia mashuleni mwao, na wengi wamekua mashuhuda mitaani namna walivyo jivunia ufahulu mzur na wale receptors wakijipatia credits, endelea kua muadilifu na moyo wako wa kuwasaidia wenye uhitaji kimasomo nawe baraka nyingi zitokanazo na furaha zao zitakufikisha mbali sana kimafanikio, USHAURI tunaomba muendelee kusaidia kutoa uchambuzi wa riwaya na tamthilia kwa njia ya video/audio kama mlivyofanya kwenye Takadini na Three suitors na hata Practicles ikiwezekana, (WELL DONE BROTHERS)
Mnafanya vyema sana wakuu, blog hii imekua msaada mkubwa sana kwa wanafunzi, zaidi kwa Private Candidates, QT, na hata School Candidates, na wapo walimu wengi tu hutumia notes za masomo katika blog hii na kufundishia mashuleni mwao, na wengi wamekua mashuhuda mitaani namna walivyo jivunia ufahulu mzur na wale receptors wakijipatia credits, endelea kua muadilifu na moyo wako wa kuwasaidia wenye uhitaji kimasomo nawe baraka nyingi zitokanazo na furaha zao zitakufikisha mbali sana kimafanikio,
ReplyDeleteUSHAURI tunaomba muendelee kusaidia kutoa uchambuzi wa riwaya na tamthilia kwa njia ya video/audio kama mlivyofanya kwenye Takadini na Three suitors na hata Practicles ikiwezekana, (WELL DONE BROTHERS)
Asante sana na karibu sana
DeletePost a Comment